View Duration: 2:19
The meteorological department has issued an alert over imminent flooding in Budalangi. Surprisingly, even though residents of the area have reported that river Nzioa is swelling and could soon burst its banks anytime from now, they are still staying put. Meanwhile residents of Nyanduma village in ...
View Duration: 1:33
Wakulima wanne wa miwa kutoka kaunti ya bungoma eneo la webuye, wanauguza majeraha mabaya, kufuatia makabiliano na maafisa wa usalama kwa madai ya kuhusika na wizi wa miwa...zawadi anayo taarifa kwa kina
View Duration: 1:37
Klabu ya nzoia sugar imeanza mikakati ya kurejea kwenye ulingo wa soka baada ya kusambaratika miaka sita iliyopita. Klabu hiyo imeteua kikosi cha wachezaji 30 watakaoanza mazoezi huku wakinuia kujiunga na ligi ya pili nchini.huku hayo yakijiri klabu ya congo united iliyoshushwa ngazi inazidi ...
View Duration: 1:50
Binti mmoja katika kaunti ya trans-nzioa amemtimua mamake kwenye ardhi ya ekari 15 walioachiwa kwa madai kuwa hakuwajali wakiwa wachanga . Inasemekana ya kuwa mama huyu aliwatelekeza wanawe wawili miaka 40 iliyopita na kupata malezi kutoka nyanya yao na sasa mamayao amerejea wakiwa watu wazima na ...